Daniel Sturridge amepigwa faini ya kiasi cha £75,000 na kufungiwa
kucheza mpira hadi Julai 31 baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja
sheria za FA kuhusu kamari kamari.
Sturridge amefungiwa kwa wiki sita, nne kati ya hizo zimeachwa hadi
August 31, 2020, kwahyo atakuwa huru kucheza soka tena kuanzia July 31
ikiwa hatovunja sheria za FA.
0 comments:
Post a Comment