AZAM FC imekuwa imu ya kwanza kutinga hatua ya nusu fainali michuano ya Kagame inayoendelea nchini Rwanda.
Licha ya TP Mazembe kuanza kufunga kupitia kwa Ipammy Giovany dakika ya 21 haikufua dafu kwani dakika ya 28 Iddy Naldo alisawazisha.
Obrey Chirwa dakika ya 70 alipachika bao la pili kwa kichwa na kuifanya Azam FC kushinda kwa mabao 2-1.
0 comments:
Post a Comment