Juventus Wamnasa Matthijs de Ligt kutoka Ajax Klabu ya Juventus leo wametangaza rasmi kumsajili beki wa kati Matthijs de Ligt kutoka Ajax kwa ada inayoripotiwa kuwa Pauni Milioni 67.5 sawa na Tsh Bilioni 193.
0 comments:
Post a Comment