NEYMAR Jr mwenye miaka 27 bado ameendelea kushinikiza ndani ya klabu yake ya PSG apewe ruhusa ya kusepa mazima.
PSG
bado hawajakubali kumuachia nyota huyo ndani ya kikosi hicho kutokana
na uhitaji waloonao ilihali mwenyewe hana furaha ya kubaki ndani ya
kikosi chicho.
Neymar
amesisitiza kuwa kumbukumbu yake njema kwenye soka ni kitendo cha
Barcelona kuinyoosha PSG mabao 6-1 kwenye Ligi ya Mabinwgwa mwaka 2017.
0 comments:
Post a Comment