Mshambuliaji
Mrundi wa Azam FC, Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana kujiandaa na
mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu
ijayo hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
Kiungo
wa Azam FC, Frank Domayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa
Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo
Mshambuliaji
wa Azam FC, Frank Domayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao wa
Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo
Beki
Mganda wa Azam FC, Nico Wadada akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo ujao
wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumatatu ijayo

0 comments:
Post a Comment