Mshambuliaji
wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John akiwa na chipukizi mwenzake wa
akademi ya Leicester City katika kambi yao, Holmes Park, Belvoir Drive
Training Complex jana. Kelvin amejiunga na academy ya Leicester City
kufuatia kwenda England kwa masomo
0 comments:
Post a Comment