Ten
amepewa majukumu hayo kwa muda ili kushikilia kiti alichokuwa
amekikalia Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye aliondolewa ndani ya nafasi
hiyo.
Nafasi hiyo atakaa nayo Ten kwa muda maalum mpaka pale atakapopatikana mtu mwingine ambaye atachukua nafasi hiyo.
Mbali
na Ten, mchezaji wa zamani ndani ya Yanga, Said Maulid 'SMG' amechukua
kiti cha Noel Mwandila kama msaidizi wa Boniface Mkwasa ambaye
ametangazwa kuwa Kaimu Kocha Mkuu kufuatia klabu kvunja mkataba na
Mwinyi Zahera.

0 comments:
Post a Comment