Angel
Correa akipongezwa na Koke baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la
ushindi dakika ya 86 ikiilaza 3-2 Barcelona katika Nusu Fainali ya Kombe
la Mfalme jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah. Mabao
mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Koke dakika ya 46 na
Alvaro Morata kwa penalti dakika ya 81, wakati ya Barcelona yalifungwa
na Lionel Messi dakika ya 51 na Antoine Griezmann dakika ya 62. Atletico
sasa itamenyana na mahasimu wao wa Jiji, Real Madrid katika fainali
Jumapili hapo hapo King Abdullah Sports City, Jeddah
Home
»
»Unlabelled
» ATLETICO YAICHAPA BARCELONA 3-2 NA KUIFUATA REAL MADRID FAINALI KOMBE LA MFALME
Friday, January 10, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment