Bondia
Floyd Mayweather (kushoto) amekubali pambano la marudiano na Manny
Pacquiao (kulia) ambalo litafanyka Mei 2, mwaka huu ukumbi wa MGM Grand
Jijini Las Vegas, Marekani. Pambano la kwanza baina ya wababe hao,
Mayweather alishinda kwa pointi Mei 2 mwaka 2015 hapo hapo MGM Grand
0 comments:
Post a Comment