Wachezaji
wa timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake, Twiga Stars wakiwasili Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo
kutoka Tunisia walipokwenda kushiriki michuano ya UNAF iliyomalizika kwa
timu hiyo kushika nafasi ya pili.
0 comments:
Post a Comment