Real
Madrid wana mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut
Haaland, 19, kutoka Borussia Dortmund mwaka huu na mshambuliaji wa
Ufaransa Kylian Mbappe, 21, kutoka Paris St-Germain 2021. (Marca)
Real
Madrid pia inakabiliana na Manchester United katika kinyang’anyiro cha
kumsajili winga wa England wa miaka 20 Jadon Sancho, ambaye anachezea
klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund. (Daily Star) Manchester United kumenyana na Real Madrid kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon SanchoBorussia
Dortmund imetoa dau la Euro milioni 40 sawa na (£34.9m) kumnunua winga
wa miaka 20 wa Uhispania na Valencia Ferran Torres, ambaye mkataba wake
unamalizika 2021. (Bild, via Sport)
Mshambuliaji wa Nigeria Odion
Ighalo, 30, atalazimika kupokea paundi £200,000-kwa wiki ikiwa anataka
kubadilisha-uhamisho wake wa mkopo Manchester United kutoka klabu ya
Shanghai Shenhua inayoshiriki Super League ya China, ambako alikuwa
nalipwa where he was on £300,000- kwa wiki. (Daily Star) Mshambuliaji waNigeria Odion Ighalo kupunguziwa akiamua kujiunga rasmi na Manchester UnitedChelsea
italazimika kulipa £5m ikiwa inataka kumsajili kiungo wa kati wa Derby
County wa miaka 19- Muingereza Max Bird, ambaye mchezo wake umemvutia
mkufunzi Blues Frank Lampard alipokuwa meneja wa klabu hiyo. (Football
Insider)
Paris St-Germain imeungana na Barcelona katika
kinyang’anyiro cha kumsaka kipa wa Cameroon na Ajax Andre Onana, 24.
(L’Equipe, in French, subscription required) Kiungo wa kati wa Croatia Ivan Rakitic, amekosoa jinsi Barcelona ilivyomfanyia alipokataa kujiunga na Paris St-GermainKiungo
wa kati wa Croatia Ivan Rakitic, 32, amekosoa jinsi Barcelona
ilivyomfanyia aliposema kuwa alikataa Paris St-Germain mwaka jana kama
sehemu ya mkataba ambao ungelimrudisha mshambuliaji wa Brazil Neymar,
28, Nou Camp. (Mundo Deportivo, in Spanish) Real Madrid ina mpango wa kusalia na mshambuliaji wa Serbia Luka Jovic, 22, ambaye ananyatiwa na Arsenal. (AS, in Spanish) Mshambuliaji wa Ufaransa Ousmane Dembele, 22, kusalia BarcelonaMshambuliaji
wa Ufaransa Ousmane Dembele, 22, kusalia Barcelona kwasababu hakuna
klabu iko tayari kumlipa euro milioni 60 sawa na(£52.3m). (Marca)
Tottenham wanpania kumsajili kiungo wa kati wa wa Uholanzi Lamare Bogarde, 16, kutoka Feyenoord. (Football Insider)
0 comments:
Post a Comment