Barcelona yaanza kuuza barakoa zenye nembo ya klabu yao
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania imeanza kuuza barakoa zenye nembo ya klabu yao kwa pound 16 ambayo ni zaidi ya Tsh elfu 45 za kitanzania, Barakoa hizo zimetengenezwa asilimia 100 kwa material ya pamba na zinapatikana kwenye maduka ya klabu hiyo
0 comments:
Post a Comment