CHELSEA YAENDELEA KUIMARISHA UKUTA KWA KUMSAJILI THIAGO SILVA Beki wa kati, Mbrazil, Thiago Silva akiwa na jezi ya Chelsea baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na The Blues kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba wake Paris Saint-Germain
0 comments:
Post a Comment