Washiriki
mbalimbali wa Semina ya Makamishna wa mechi za Ligi Kuu ya Tanzania
Bara inayofanyika kwenye ukumbi wa Maasai Land Jijini Arusha
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred
Kidau wakati wa ufunguzi leo

Washiriki wa Semina ya Makamishna wa Ligi Kuu kwenye ukumbi wa Maasai Land Jijini Arusha

0 comments:
Post a Comment