Liverpool
imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Stuttgart, mabao ya Roberto
Firmino dakika ya 15, Naby Keita dakika ya 40 na Rhian Brewsterin dakika
ya 68 kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Sportplatz Langau Jijini
Kitzbuhel nchini Austria kujiandaa na msimu mpya
0 comments:
Post a Comment