Mshambuliaji
wa Simba SC, Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere akifanya
mazoezi gym, timu yake ikijiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania
Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro
Kiungo Hassan Dilunga akifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Morogoro
Kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Miquissone akifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa kuivaa Mtibwa Sugar Jumamosi
Bek tegemeo wa Simba, Kennedy Willson Juma akifanya mazoezi gym kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar
Kiungo
Mbrazil, Gerson Fraga 'Viera' (kulia) na mshambuliaji Mkongo, Chris
Mugalu wakifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa
Sugar
0 comments:
Post a Comment