Raheem
Sterling akiifungia England bao pekee kwa penalti dakika ya 90 na ushei
ikiwalaza wenyeji, Iceland 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi la
pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Laugardalsvollur
Jijini Reykjavik. Mechi nyingine ya kwanza ya kundi hilo, Ubelgiji
iliwachapa wenyeji pia, Denmark 2-0
0 comments:
Post a Comment