MBAPPE AIFUNGIA BAO PEKEE UFARANSA YAICHAPA SWEDEN 1-0 Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna
0 comments:
Post a Comment