
Mchezaji aliyefunga 'hat-trick'
(kufunga mabao matatu mechi moja) ya kasi zaidi katika soka, Tommy Ross,
amefariki dunia akiwa na miaka 71.
Ross aliweka rekodi ya dunia
inayotambuliwa na Guinness World Record kwa kufunga mabao matatu katika
muda wa sekunde 90 akiwa na miaka 18.Wakati huo alikuwa anachezea Ross County dhidi ya Nairn County mwaka 1964
0 comments:
Post a Comment