LEO Oktoba 6 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) limemtambulisha Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambaye ni beki ya NBC.
Sasa ni rasmi Ligi Kuu Tanzania itafahamika kwa jina la NBC Premier League baada ya kusainj mkataba na TFF wenye thamani ya bilioni 2.5.
Ni Rais wa TFF, Wallace Karia amesaini dili hilo na Mkurugenzi wa NBC Theobald Sabi naye alisaini kwa upande wa NBC.
0 comments:
Post a Comment