LEICESTER CITY YASAJILI 'MKOBA' WA HULL CITY MIAKA MITANO na alanus Harry Maguire akiwa ameshika jezi ya Leicester City baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na mabingwa hao wa zamani wa England kwa dau la Pauni Milioni 17 kutoka Hull City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment