by alanus
Mshambuliaji
wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Chile bao la
kuongoza dakika ya sita katika sare ya 1-1 na Ujerumani usiku wa
Alhamisi Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan kwenye mchezo wa Kundi B
Kombe la Mabara. Ujerumani ilisawazisha kupitia kwa Lars Stindl dakika
ya 41, lakini Sanchez amefanikiwa kuweka rekodi ya mchezaji aliyeifungia
mabao mengi zaidi kihistoria Chile akifikisha mabao 38 na
kumpiku Marcelo Salas

0 comments:
Post a Comment