22june 2017

Mfaransa Jo-Wilfried Tsonga
ameondolewa kwenye michuano ya Aegon, inayoendelea nchini England na
Gilles Muller kutoka Luxembourg
Muller hana jina kubwa katika ramani ya mchezo wa tenesi alimfunga Tsonga kwa seti mbili katika raundi ya pili ya mchuano wao.Katika seti ya kwanza Muller alishinda kwa 6-4 na seti ya pili akishinda kwa 6-4.
Tsonga anakua nyota wa nne kutupwa nje ya mashindano hayo baada ya Andy Murray, Stan Wawrinka na Milos Raonic kuondolewa hapo siku ya jumanne
0 comments:
Post a Comment