Thursday, June 29, 2017

By alanus

unnamed
Mgeni Rasmi ambaye pia ni NaibuKatibu Mkuuwa CCM Zanzibar,Dkt.Abdulla JumaSaadala,akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Kundemba FC,Mohamed Haji Shaibu,baada yakuibuka mshindi katika mashindano ya Masauni – Jazeera Cup.Katikati ni Mbunge waJimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju ya penati 8-7 iliyopelekea timu ya Kundemba FC  kuibuka bingwa dhidi ya Kilimani Maghorofani.Mchezo huo ulifanyika katika viwanja vya MnaziMmoja, Visiwani Zanzibar
1
Mgeni Rasmi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdulla Juma Saadala, akimkabidhi zawadi ya viatu mchezaji bora wa mashindano ya Masauni -Jazeerah Cup,Shabani Makuka.Kushoto ni Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni, NassorSaleh Jazeera na watatu ni Mbunge wa jimbo hilo,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju ya penati 8-7 iliyopelekea timu yaKundemba FC  kuibuka mshindi dhidi ya Kilimani Maghorofani,mchezo huo ulifanyika katika viwanja vya MnaziMmmoja,VisiwaniZanzibar
2
Mwamuzi Bora waMashindanoyaMasauni -Jazeera Cup,RamadhaniKhamis Kombo akipokeazawadikutokakwaMgeniRasmiambaye pia niNaibuKatibuMkuuwa CCM Zanzibar, Dkt.AbdullaJumaSaadala,baadayakumalizikakwamchezowafainalikatiyatimuyaKundemba FC naKilimaniMaghorofani.MchezohuoulifanyikakatikaViwanjavyaMnaziMmoja,VisiwaniZanzibar
3
NahodhawatimuyaKundemba FC,Mohamed Haji Shaibu, akipokeazawadiyamshindiwakwanza wamashindanoyaMasauni-Jazeera Cup kutokakwaMgeniRasmiambaye pia niNaibuKatibuMkuuwa CCM Zanzibar , Dkt.AbdullaJumaSaadala.KushotoniMwakilishiwaJimbo la Kikwajuni, NassorSaleh JazeeranawatatuniMbungewajimbohilo,Mhandisi Hamad Masauni
4
NahodhawatimuyaKundembaFC,Mohamed Haji Shaibu, akifurahiafedhazazawadiyamshindiwa kwanza mashindanoyaMasauni-Jazeera baadayakuzipokeakutokakwaMgeniRasmiambaye pia niNaibuKatibuMkuuwa CCM Zanzibar, Dkt.AbdullaJumaSaadala,(aliyeshikakombe).
5
MgeniRasmiambaye pia niNaibuKatibuMkuuwa CCM Zanzibar, Dkt.AbdullaJumaSaadala,akizungumzanawananchi (hawapopichani), waliofikakuangaliamchezowafainaliwamashindanoyaMasauni – Jazeera Cup.KushotoniMbungewaJimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezohuoulimalizikakwamikwajuyapenati 8-7 iliyopelekeatimuyaKundemba FC  kuibukabingwadhidiyaKilimaniMaghorofani,uliofanyikakatikaviwanjavyaMnaziMmmoja, VisiwaniZanzibar
6
MgeniRasmiambaye pia niNaibuKatibuMkuuwa CCM-Zanzibar,Dkt.AbdullaJumaSaadala,akizungumzanavyombovyahabaribaadayamchezowafainaliwamashindanoyaMasauni – Jazeera Cup.WapilikushotoniMwakilishiwaJimbo la Kikwajuni,NassorSaleh Jazeera nawanneniMbungewajimbohiloMhandisi Hamad Masauni.Mchezohuoulimalizikakwamikwajuyapenati 8-7 iliyopelekeatimuyaKundemba FC  kuibukabingwadhidiyaKilimaniMaghorofanikatikaviwanjavyaMnaziMmoja, VisiwaniZanzibar.
7
WachezajinamashabikiwatimuyaKundembaFC, wakishangiliakuibukamabingwawamashindanoyaMasauni – Jazeera Cup, baadayakuifungatimuyaKilimaniMaghorofanikwaushindiwamikwajuyapenati 8-7.Mchezo huoulifanyikakatikaViwanjavyaMnaziMmoja,VisiwaniZanzibar.PichanaAbubakariAkida

0 comments:

Post a Comment