Friday, June 2, 2017

details june 2 2017
by alanus
Kiungo wa Manchester City Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika klabu hiyo ya ligi kuu.
Toure mwenye miaka 34 alijiunga city mwaka 2010 na amefunga magoli 81 katika michezo 299.
Mwanzoni mwa msimu huu, Toure aliachwa nje ya kikosi kilichoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya na kisha meneja wake Pep Guardiola akaingia kwenye malumbano na Dimitri Seluk.
Guardiola (kulia) amekuwa mwalimu wa Toure tokea akiwa BarcelonaImage caption Toure alijiunga na City mwaka 2010 akitokea Barcelona baada ya kutemwa na Guardiola
Kwa simu za hivi karibuni Toure aliyejiunga na City akitokea Barcelona, ameibuka na kuwa muhimili wa klabu hiyo jambo lililomfanya Guardiola kumuongezea mkataba mwingine.

0 comments:

Post a Comment