Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania
bara timu ya soka ya Yanga wamekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa
timu ya Mbao FC.Pius Buswita kwa ajili ya kuitumikia timu hikatikamsimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara kwa kandarasi ya miaka miwili.
Awali Buswita ilielezwa kuwa alikuwa mbioni kujiunga na
klabu ya Simba baada ya kukubaliana kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo
lakini leo hii Yanga kama imelipiza kisasi kwa wekundu hao
Home
»
»Unlabelled
» YANGA YAILIZA TENA SIMBA USAJILI WA KIUNGO WA MBAO FC
Saturday, June 17, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment