Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na
Meneja wa Habari wa Timu ya Everton FC wakati wa mazoezi ya timu hiyo
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuf Omar Singo.Picha na: Idara ya
Habari -MAELEZO
Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya
Everton FC ya nchini Uingereza akifanya mazoezi katika dimba la uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
Wachezaji wa Timu ya Everton FC
ya nchini Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki
wa timu hiyo mara baada ya kumaliza mazoezi katika dinba la uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya
Everton FC ya nchini Uingereza akitoka mazoezini katika dimba la uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
Basi lililobeba wachezaji wa Timu
ya Everton ya nchini Uingereza likiwasili katika uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya mazoezi leo.
Baadhi ya viongozi wa wa Timu ya
Everton ya nchini Uingereza wakishuka katika basi la timu hiyo mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa ajili
ya mazoezi leo.
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiingia katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.

0 comments:
Post a Comment