Wapiganaji Conor McGregor wa Ireland (kulia) na Mmarekani Floyd Mayweather (kushoto) wakitambiana jana ukumbi wa MGM
Grand mjini Las Vegas, Marekani katika promosheni ya mwisho ya pambano
lao la raundi 12 Jumamosi usiku ambalo kwa Afrika Mashariki tutaliona
asubuhi ya Jumapili
0 comments:
Post a Comment