RONALDO YUPO TAYARI KWA EL CLASICO LA LEO CAMP NOU Mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na wenzake jana kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Super Cup ya Hispania dhidi ya wenyeji, Real Madrid leo Uwanja wa Camp Nou hiyo ikiwa El Clasico ya kwanza ya msimu
0 comments:
Post a Comment