Raheem
Sterling akiifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 96
wakiwalaza 2-1 wenyeji, AFC Bournemouth Uwanja wa Vitality katika mchezo
wa Ligi Kuu ya England leo kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia
kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Bournemouth walitangulia kwa bao la Charlie Daniels dakika ya 13 kabla ya mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus kuisawazishia City dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home
»
»Unlabelled
» STERLING AIFUNGIA LA USHINDI MAN CITY, ALIMWA NYEKUNDU
Sunday, August 27, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment