Mshambuliaji Lionel Messi akifumua shuti kwa guu la kushoto kumfunga kipa wa Alaves, Fernando Pacheco kuipatia Barcelona bao la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz leo, bao la pili akifunga Muargentina huyo dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home
»
»Unlabelled
» MESSI AFUNGA ZOTE MBILI, BARCA YAUA 2-0 LA LIGA
Sunday, August 27, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment