Saturday, September 23, 2017

Mario Balotelli akikimbia na mpira baada ya kuifungia timu yake, Nice kwa penalti dakika ya 39 katika sare ya 2-2 na Angers usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice katika mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa. Bao lingine la Nice Ismael Traore alijifunga dakika ya 76, wakati mabao ya Angers yamefungwa na Mateo Pavlovic dakika ya 12 na Karl Toko Ekambi dakika ya 34

0 comments:

Post a Comment