Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid leo kujiandaa na mchezo wa Kundi H, Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano dhidi ya timu yake ya zamani, Tottenham Hotspur mjini London, nchini England. Bale alitarajiwa kuikosa mechi hiyo kutokana na kuwa majeruhi
0 comments:
Post a Comment