GRIEZMANN AFUNGA BAO TAMU UFARANSA YAICHAPA 2-0 WALES Antoine Griezmann akijipinda kuifungia Ufaransa bao la kwanza dakika ya 18 Uwanja wa Stade de France mjini Paris katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 71
0 comments:
Post a Comment