Gonzalo Higuain akiifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 79 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno. Sporting Lisbon walitangulia kwa bao la Bruno Cesar dakika ya 20
0 comments:
Post a Comment