Lionel Messi akishangaa wakati anakaribiwa na shabiki aliyevamia Uwanja wa Georgios Karaiskaki mjini Pireas, Piraeus nchini Ugiriki wakati wa mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Olympiacos uliomalizika kwa sare ya 0-0. Shabiki huyo alimkumbatia Messi na kukata kiu yake
0 comments:
Post a Comment