Wednesday, November 22, 2017

Harry Kane akisherehekea baada ya kuifungia Tottenham bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Borussia Dortmund usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Bao la pili la Spurs lilifungwa na Son Heung-Min dakika ya 76, wakati la Borussia Dortmund lilifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 31

0 comments:

Post a Comment