Mshambuliaji Raheem Sterling akimchambua kipa Brad Jones wa Feyenoord
ya Uholanzi kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 88 Uwanja wa
Etihad katika ushindi wa 1-0 usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi F Ligi
ya Mabingwa Ulaya na moja kwa moja kuiwezesha timu hiyo ya kocha Pep Guardiola kufuzu hatua ya mtoano kama mshindi wa kundi hilo
Home
»
»Unlabelled
» RAHEEM STERLING AIVUSHA MTOANO MAN CITY LIGI YA MABINGWA
Wednesday, November 22, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment