Mshambuliaji
wa Juventus, Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia bao pekee
la ushindi timu yake dakika ya 12 ikiilaza 1-0 timu yake ya zamani,
Napoli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A usiku
wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli
0 comments:
Post a Comment