Wanachama
wa Simba SC wakiwa ndani ya ukumbi wa Mwalimu Nyerere katikati ya Jiji
la Dar es Salaam leo tayari kwa Mkutano Mkuu maalum wa klabu hiyo
kupitisha mabadiliko ya uendeshwaji kuelekea kwneye kuuza hisa
Kaimu Rais wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' akiwahutubia wanachama waliohudhuria mkutano huo
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura akizungumza kwenye mkutano huo
Kaimu
Rais wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' (kushoto) akiwa na Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangala (kulia)ambaye
amemuwakilisha Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk.
Harrison Mwakyembe kama mgeni rasmi wa mkutano huo
Mdau
wa klabu, Mulamu Ngh'ambi akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Simba
SC, Dk. Arnold Kashembe na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Hajji
Manara kabla ya kuanza kwa mkutano huo
0 comments:
Post a Comment