David
Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi
dakika ya 83 ikiilaza 2-1 West Ham United Jumapili Uwanja wa Etihad
katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. West Ham walitangulia kwa bao la Angelo Ogbonna dakika ya 44, kabla ya Nicolas Otamendi kuisawazishia Man City dakika ya 57 ikishinda mechi ya 13 mfululizo msimu huu
Home
»
»Unlabelled
» MAN CITY HATARI TUPU, YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO
Monday, December 4, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment