Wachezaji
wa Arsenal, Olivier Giroud na Aaron Ramsey wakiwa wanyonge baada ya
kufungwa bao la tatu na Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya
England jana wakilala 3-1 mbele ya wenyeji wao hao Uwanja Liberty,
Wales. Arsenal walitangulia kwa bao la Nacho Monreal dakika ya 33, kabla ya Sam Clucas kuisawazishia Swansea dakika moja tu baadaye na kufunga la tatu dakika ya 86 kufuatia Jordan
Ayew kufunga la pili dakika ya 61. Henrikh Mkhitaryan aliyesajiliwa kwa
kubadilishwa na Alexis Samchez aliyekwenda Manchester United alicheza
mechi yake ya kwanza Arsenal jana akiingia kuchukua nafasi ya Mohamed
Elneny dakika ya 60
Home
»
»Unlabelled
» ARSENAL TAABANI LIBERTY...WAFUMULIWA 3-1 KAMA WAMESIMAMA
Wednesday, January 31, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment