Waafrika Jordan Ayew na Wilfried Bony wakishangilia baada ya wote kuifungia Swansea
City usiku wa jana Uwanja wa Liberty katika ushindi wa 2-1 dhidi ya
Wolves na kuiwezesha timu yao kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA
England. Ayew alifunga dakika ya 11 na Bonny dakika ya 69, wakati bao la
Wolves lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 66
Home
»
»Unlabelled
» BONY, AYEW WOTE WAFUNGA SWANSEA CITY YAILAZA 2-1 WOLVES
Thursday, January 18, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment