Thursday, January 18, 2018

Neymar akiruka juu kushangilia baada ya kufunga hat trick ya kwanza Ufaransa tangu ajiunge na Paris Saint-Germain kwa dau la rekodi ya dunia, Pauni Milioni 198 kutoka Barcelona kufuatia jana kufunga mabao manne dakika za 42, 57, 73 na 83 kwa penalti katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Dijon kwenye mchezo wa Ligue 1 Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Angel Di Maria mawili dakika za nne na 15, Edinson Cavani dakika ya 21 na Kylian Mbappe dakika ya 77

0 comments:

Post a Comment