Mchezaji mpya, Philippe Coutinho
akimuacha chini beki wa Espanyol wakati akiichezea Barcelona kwa mara
ya kwanza baada ya kuingia kutokea benchi kuchukua nafasi ya Iniesta dakika ya 68 katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Mfalme, Barca ikishinda 2-0 Uwanja wa Camp Nou
0 comments:
Post a Comment