Javier
Mascherano akipunga mkono kuwaaga mashabiki Uwanja wa Camp Nou usiku wa
jana wakati wa mchezo wa Kombe la Mfalme Barcelona ikishinda 2-0 dhidi
ya Espanyol. Baada ya kuitumikia Barca kwa miaka karibu nane,
Muargentina huyo, Mascherano anahamia Hebei China Fortune kwenda
kumalizia soka yake
0 comments:
Post a Comment