LIVERPOOL WAKANYAGWA NA SWANSEA KIMOJA TU LIBERTY
Alfie Mawson akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Swansea City dakika ya 40 Uwanja wa Liberty huku beki ghali, Virgil Van Dijk (wa tatu kulia) na wachezaji wenzake wa Liverpool, Mohamed Salah (kulia) wakionyesha masikitiko yao. Liverpool ililala 1-0 katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England

0 comments:
Post a Comment