Wachezaji wa timu ya Polisi
Tanzania wakishangilia ushindi wa goli 2-1 dhidi ya timu ya Mbeya
Kwanza katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa katika uwanja
wa Sokoine Mbeya mwishoni mwa wiki.
Mshambualiaji wa timu ya Polisi
Tanzania, Jackson Wawa akionesha umahiri wake katika kumiliki mpira
wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza ulichezwa uwanja wa Sokoine
Mbeya ambapo timu ya Polisi Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 2- 1
dhidi ya timu ya Mbeya Kwanza.
Mchezaji wa timu ya Polisi
Tanzania Jeremiah Katula akiwatoka mabeki wa timu ya Mbeya kwanza wakati
wa mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa katika uwanja wa Sokoine
Mbeya mwishoni mwa wiki ambapo timu ya Polisi Tanzania iliibuka na
ushindi wa goli 2- 1.
0 comments:
Post a Comment