Luis
Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee la ushindi
dakika ya 67 ikiwapiga 1-0 Valencia katika Nusu Fainali ya kwanza ya
Kombe la Mfalme, Copa del Rey usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Barca
itatakiwa kwenda kuulinda ushindi huo mwembamba kwenye mechi ya
marudiano Februari 8, mwaka huu
Home
»
»Unlabelled
» BARCELONA YAPATA USHINDI MWEPESI NUSU FAINALI YA KWANZA KOMBE A MFALME
Friday, February 2, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment