MESSI ADHIBITIWA BARCA YALAZIMISHWA SARE 0-0 CAMP NOU Bruno Gonzalez wa Getafe akimvuta jezi Lionel Messi wa Barcelona kumpunguza kasi katika mchezo wa La Liga uliomalizika kwa sare ya 0-0 leo Uwanja wa Camp Nou
0 comments:
Post a Comment